Kiambishi tamati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiambishi tamati (au viambishi tamati katika dhana ya wingi) ni aina za viambishi vinavyopatikana baada ya mzizi wa neno.

Mfano: neno "WANALIMIANA" linaundwa hivi:

- WA - NA - LIM (mzizi) - I - AN - A

Kwa hiyo, I, AN na A ni viambishi tamati.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiambishi tamati kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.