Kiabua
Mandhari
Kiabua ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waabua. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiabua iko katika kundi la Cross River.
Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kiabua ilihesabiwa kuwa watu 25,000.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiabua kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiabua Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2013 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiabua katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/abn
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiabua kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |