Kheri Khatib Ameir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kheri Khatib Ameir (amezaliwa Zanzibar 10 Februari 1950) ni mwanasiasa mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM). Aliwahi kushiriki katika katiba ya matamwe ya mwaka 2000. Ni Mbunge katika Bunge la Tanzania. [1]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Chanzo[hariri | hariri chanzo]