Khemis Miliana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Msikiti wa El-Atike Khemis Miliana

Khemis Miliana (kwa Kiarabu: خميس مليانة) ni mji kaskazini mwa Algeria wenye wakazi takriban 84,574. Ni mji wa chuo kikuu ulio kilomita 120 magharibi mwa Algiers. Ilijulikana kama Malliana katika nyakati za Kirumi, halafu Affreville wakati wa ukoloni wa Ufaransa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Khemis Miliana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.