Katunguru, Uganda
Mandhari
Katunguru ni mji mdogo ndani ya Wilaya ya Rubirizi katika mkoa mdogo wa Ankole kwenye mkoa wa magharibi wa Uganda.
Mahali
[hariri | hariri chanzo]Katunguru inapatikana kusini mwa Ikweta, barabara ya Kikorongo-Ishaka. Mji unakadiriwa kuwa na kilometer 19 sawa na maili 12 kwa barabara kutoka kaskazini mwa Rubirizi, makao makuu ya mji huo[1].Hii ni kusini mwa kingo za Mfereji wa Kazinga ambao unaunganisha Ziwa George na Ziwa Edward na kuunda mpaka wa wilaya ya Kasese na wilaya ya Rubirizi kaskazini. Katunguru imeegemea kwenye mipaka ya Mbuga ya Queen Elizabeth (Uganda)
Vivutio ndani ya Katunguru
[hariri | hariri chanzo]Zifuatazo ni sehemu muhimu zinazopatikana ndani ya mji au pemebezoni karibu ya mji
- Ofisi ya halmashauri ya mji wa Katunguru
- Makao makuu ya Mji mdogo wa Katunguru
- Soko kuu la Katunguru
- Shule ya sekondari ya Katunguru
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Katunguru, Uganda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |