Katibu Mkuu Kiongozi (Tanzania)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Katibu Mkuu Kiongozi ni katibu mkuu wa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na mtendaji mkuu katika utumishi wa umma na katibu wa baraza la mawaziri [1]. Ndiye mshauri mkuu wa rais katika mambo yanayohusiana na nidhamu katika utumishi wa umma.

Orodha ya Makatibu Wakuu[hariri | hariri chanzo]

Hii ni orodha ya makatibu wakuu tangu uhuru wa Tanzania hadi sasa

Marejeo[hariri | hariri chanzo]