Kata (maana)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kata(Maana))
Jump to navigation Jump to search

Kata ni neno la Kiswahili linaloweza kumaanisha:

  • Kata(kitenzi) – tendo la kuachanisha au kutenganisha katika vipande vipande kwa mfano kukata mti au nyama.
  • Kata(nomino) – neno hili humaanisha migawanyiko ya maeneo katika miji ambayo huwa na viongozi katika ngazi hiyo.
  • Kata(nomino) - Kifaa kinachotumika kunyea pombe za asili.
  • Kata(nomino) - Kifaa au aina ya nguo, kitambaa au majani amayo hutumika kujitwishia vitu vizito kichwani kama ndoo ya maji.
Disambig.svg
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.