Kaspersky Lab

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kaspersky)
MaabŁara ya Kaspersky
Nembo ya Maabara ya Kaspersky.

Kaspersky Lab ni taasisi ya usalama wa mitandao ya kimataifa kuhusiana na virusi vinavyoishambulia kompyuta, na inatoa huduma ya kupambana na virusi hivyo vya kompyuta. Ina makao makuu mjini Moscow, Urusi na inaendeshwa na kampuni iliyomo nchini Uingereza.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Ilianzishwa mwaka 1997 na Eugene Kaspersky, ambaye sasa ni Mkurugenzi Mtendaji. Maabara ya Kaspersky inakua na kuuza vipambana virusi, usalama wa mtandao, usimamizi wa nenosiri, na bidhaa nyingine za huduma za usalama wa mitandao.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaspersky Lab kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.