Nenda kwa yaliyomo

Karolina Bochra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karolina Bochra (alizaliwa 31 Agosti 1988) ni mchezaji wa soka wa Poland ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya FC Katowice ya ligi kuu ya Ekstraliga.[1] Hapo awali alicheza katika timu ya Gol Częstochowa na KŚ AZS Wrocław.[2]

Alikuwa miongoni mwa wachezaji wa timu ya taifa ya Poland katika Kombe la Algarve la mnamo mwaka 2008, ambapo alifunga goli dhidi ya timu ya taifa ya Ureno.[3]

  1. 2011-12 squad in Katowice's website
  2. Profile in UEFA's website
  3. Statistics of the competition in the Portuguese Football Federation's website (p.19)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Karolina Bochra kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.