Karlo Letica

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karlo Letica (matamshi ya Kikroatia: [kâːrlo lětitsa]; alizaliwa 11 Februari 1997) ni mshambuliaji wa Timu ya taifa ya Kroatia ambaye anacheza katika klabu iliyopo nchini Ubelgiji Club Brugge KV.

Kazi ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Letica alikuwa kama sehemu ya timu ya taifa ya Kroatia ya chini ya miaka 19 ambayo alicheza michuano ya Umoja wa Ulaya chini ya 19 mwaka 2016

Mnamo Agosti 2017, aliitwa kwenye kikosi cha Croatia cha chini ya miaka 21 dhidi ya Moldova na Austria. Alicheza kwa mara ya kwanza dhidi ya Austria ambapo mechi ilimaliza kwa sare ya 1-1.

Mwezi Mei 2018 aliitwa jina lake katika kikosi cha kwanza cha wachezaji23 cha Timu ya taifa ya Croatia katika Kombe la Dunia la FIFA 2018 iiliyofanyika nchini Urusi.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Karlo Letica kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.