Kanji Akagi
Mandhari
Kanji Akagi(赤木 完次, Akagi Kanji,alizaliwa 3 Aprili 1933) ni mwanariadha wa zamani nchini Japani ambaye alishiriki Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto mwaka 1956. Akagi alishinda medali tatu za dhahabu katika Michezo ya Asia,mbili katika riadha katika Michezo ya Asia ya mwaka 1954 na moja katika riadha katika Michezo ya Asia mwaka 1958.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Japanese Delegation of Athletics Team - London 2012" (PDF). JAAF. Iliwekwa mnamo 2019-06-04.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kanji Akagi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |