Kanae Hayashi
Mandhari
Kanae Hayashi (alizaliwa 27 Februari 1994) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama beki wa klabu ya wanawake ya JEF United Chiba inayoshiriki ligi ya Yogibo WE huko Japani. Kanae alicheza kwa mara ya kwanza kwenye Ligi ya Yogibo WE mnamo 20 Septemba 2021.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Kanae Hayashi".
- ↑ "Scoresheet" (PDF). weleague.jp.
{{cite web}}
: Cite has empty unknown parameter:|1=
(help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kanae Hayashi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |