Kamusi ya Kiswahili - Kiingereza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

KKK/SED ni kifupi chake cha "Kamusi ya Kiswahili - Kiingereza" (Swahili-English Dictionary) iliyoandaliwa na wataalamu wa TUKI kwenye Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kutolewa mwaka 2001.

Kamusi hii inataja maana za Kiingereza kwa maneno zaidi ya 50,000 ya Kiswahili.

Kamusi online[hariri | hariri chanzo]

Kamusi ya Kiswahili - Kiingereza (TUKI) online

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kamusi ya Kiswahili - Kiingereza (KKK) (imetungwa TUKI, Dar es Salaam 2001)