Kamusi Sanifu ya Kompyuta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kamusi Sanifu ya Kompyuta (KSK) ni kamusi ya Kiswahili iliyotolewa mwaka 2011 na Taasisi ya Taaluma za Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Ilitungwa na Omari M. Kiputiputi ka kushirikiana na mratibu Selemani S. Sewangi.

Maelezo yote ya msamiati ni kwa lugha ya Kiswahili kwenye kurasa zaidi ya 600.

Kamusi hii haina sehemu ya Kiingereza-Kiswahili.