Kalagi, Mubende
Mandhari
Kalagi ni kijiji katika wilaya ya Mubende katika Uganda ya Kati.
Mahali ilipo
[hariri | hariri chanzo]Kalagi ipo takriban kilomita 39 sawa na maili 24 kutokea mashariki mwa Mubende ambapo ndio makao makuu ya wilaya ilipo[1]. Kalagi ipo takriban kilomita 129 sawa na maili 80 kwa barabara umbali kutokea magharibi mwa Kampala ambapo ni mji mkuu wa Uganda na jiji kubwa zaidi.[2]. Barabara hiyo ni barabara kuu ya lami kati ya Kampala na Mubende.Kijiji kidogo kilikuwa eneo linalolima kahawa mnamo miaka ya 1950 na 1960 na linaongozwa na familia ya marehemu Yosiya Baale wa ukoo wa Nyange. Inapatikana kwa majira nukta (0 ° 31'01.0 "N, 31 ° 38'56.0" E (Latitude: 0.516944; Longitude: 31.648889)).[3].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ GFC, . (22 Julai 2015). "Map Showing Mubende And Kalagi With Route Marker". Globefeed.com (GFC). Iliwekwa mnamo 22 Julai 2015.
{{cite web}}
:|first=
has numeric name (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ GFC, . (21 Julai 2015). "Road Distance Between Kampala And Kalagi, Mubende With Map". Globefeed.com (GFC). Iliwekwa mnamo 21 Julai 2015.
{{cite web}}
:|first=
has numeric name (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ https://www.google.com/maps/place/0%C2%B031'01.0%22N+31%C2%B038'56.0%22E/@0.5169444,31.6488889,17.87z/data=!4m2!3m1!1s0x0:0x0?hl=en%7Ctitle=Location of Kalagi, Mubende At Google Maps| accessdate=21 July 2015}}
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kalagi, Mubende kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |