Kabwe Zuberi Zitto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kabwe Zuberi Zitto
Zitto Kabwe
Zitto Kabwe
Mbunge
Bunge la Tanzania
Jimbo la uchaguzi Kigoma Kaskazini
Tarehe ya kuzaliwa 24 Septemba 1976
Chama Chama cha Demokrasia Tanzania
Tar. ya kuingia bunge 2005
Dini
Elimu yake Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Digrii anazoshika BA (uchumi)
Kazi mwanasiasa
Tovuti yake http://zittokabwe.wordpress.com/


Kabwe Zuberi Zitto ni mbunge katika Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Anawakilisha jimbo la Kigoma Kaskazini.

Kabwe anatokea chama cha Chadema ambapo yeye ni Mkurugenzi wa Ofisi ya Masuala ya Kimataifa. Alisoma uchumi Tanzania na Ujerumani.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kabwe Zuberi Zitto kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.