Majadiliano:Kabwe Zuberi Zitto

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

MANDAMANO YA LIYO KUSUDIWA KUFANYIKA LEO[hariri chanzo]

Katika nchi tunayo inadi kama kisiwa cha amani sikutegemea kuona yale yaliyo fanyika hapa mbeya kwani magari takriba 20 yakiwa na wale tunao waita walizi wetu wanao lipwa kwaajili ya codi zetu wakitumika kututisha kwa bwebwe isiyo na kifani wiki tuonyeshea alama ya kutuchinja indapo tuta andamana huu ni ukiukwaji mkubwa wa matumizi ya vyombo vya usalama.haki ya kujieleza iko wap? Na uhuru wa kutoa mawazo kwa raia uko wapi?viongozi wetu wa chadema naomba muli kemee kwa nguvu swala la vitisho kwa raia.ebu tujiulize kama wakoloni wangetumia vitisho kiasi hiki tunge pata uhuru.hivi serikari yetu itatambua kuwa uma ndiyo mwajiri wao na waache kujiona kama wao ndio walio jiweka hapo walipo.Chadema kiwe chombo cha kutufikisha kwenye uhuru wa kweli.tumechoka kutawaliwa na koo ya ccm.ushauri kwa zitto cmama na chama usije ukadanganywa na ccm sisi tunaangalia chama gani kina nia sabiti ya kutukomboa na sio mtu tunakupenda tumia nafasi ya kupendwa kwako kuwashawishi ambao awajamua kuingia katika nguvu ya uma 197.250.64.193 19:39, 25 Machi 2013 (UTC)[jibu]