Juma Kombo Hamad

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Juma Kombo Hamad (amezaliwa 1 Januari 1977) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Civic United Front (CUF). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Wingwi kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017