Julieta Cruz
Mandhari
Julieta Cruz (alizaliwa 4 juni 1996) ni mwanasoka wa nchini Argentina ambae anacheza kama beki wa klabu ya wanawake ya Boca juniors na timu ya taifa ya wanawake ya Argentina.
Maisha ya Awali
[hariri | hariri chanzo]Julieta alizaliwa huko General Alvear katika mkoa wa Mendoza. Alicheza kwenye timu ya wavulana hadi alipofikisha umri wa miaka 14 na kujiunga na timu ya wanawake ya Boca juniors.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Julieta Cruz: la mendocina que juega en Boca y espera ser profesional", Los Andes, 17 March 2019. (Spanish)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Julieta Cruz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |