Julien Duranville
Mandhari
Julien Dienda Duranville (alizaliwa 5 Mei 2006)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ubelgiji, ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Borussia Dortmund inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Ubelgiji kwa walio chini ya miaka 21.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Julien Dienda Duranville | Borussia Dortmund | Player Profile | Bundesliga". bundesliga.com - the official Bundesliga website (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-28.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Julien Duranville kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |