Julián Barrio Barrio
Mandhari
Julian Barrio Barrio (alizaliwa Manganese de la Polvorosa, Zamora, 15 Agosti 1946) ni Askofu kutoka Uhispania wa Kanisa Katoliki. Alihudumu kama Askofu Mkuu wa Santiago de Compostela kati ya Januari 1996 na Aprili 2023[1][2].
Maisha ya awali
[hariri | hariri chanzo]Alisomea jiografia na historia katika Chuo Kikuu cha Oviedo, kisha akasomea teolojia katika Chuo Kikuu cha Kipapa cha Salamanca. Pia ana shahada ya udaktari katika historia ya Kanisa kutoka Chuo Kikuu cha Kipapa cha Gregoriana.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Cheney, David M. "Archbishop Julián Barrio Barrio". catholic-hierarchy.org. Iliwekwa mnamo 1 Desemba 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)Kigezo:Self-published source - ↑ 2.0 2.1 Ariza, Gabriel (22 Julai 2013). "¿Quién es…Julián Barrio Barrio?". infovaticana.com (kwa Spanish). InfoVaticana. Iliwekwa mnamo 1 Desemba 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |