Judi Bari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Judi Bari
AmezaliwaJudith Beatrice Bari
(1949-11-07)Novemba 7, 1949
UtaifaAmerican
Watoto2, including Lisa Bari
NduguGina Kolata (sister)

Judith Beatrice Bari (Novemba 7, 1949 - Machi 2, 1997) alikuwa mwanamazingira na mratibu mkuu wa kampeni ya Earth First! dhidi ya ukataji wa miti katika misitu ya kale ya kaskazini mwa California katika miaka ya 1980 na 1990.


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Judi Bari kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.