Juan José Martín-Bravo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Juan José Martín-Bravo ni mwanaharakati wa hali ya hewa kutoka Chile. Ni rais wa CVerde,[1] Ndiye mratibu mkuu wa COY15 (Mkutano wa Vijana Ulimwenguni).[2][3] Mnamo 2018, Cverde ilipewa Tuzo ya Kitaifa ya Mazingira ya Chile.

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Ni mwanafunzi huko Pontificia Universidad Católica.[2][4][5]

Ni mgombea ubunge na mwanachama wa chama cha Independientes No Neutrales.[6][7][8]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Juan José Martín-Bravo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]