Nenda kwa yaliyomo

Joy Jegede

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Joy Jegede
Amezaliwa 16 Desemba 1991
Nigeria
Kazi yake Mchezaji

Joy Jegede (alizaliwa 16 Desemba 1991) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambaye anacheza kama beki wa timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria. Alishiriki na timu yake ya taifa katika Mashindano ya Wanawake ya Afrika mwaka 2012. Joy ni nahodha wa timu ya wanawake ya Delta Queens yenye makao yake nchini Nigeria hapo awali alicheza katika timu ya bobruichanka huko nchini Belarus.[1][2][3]

  1. Bassey, Ubong (25 Februari 2016). "Delta Queens nick win against Bayelsa Queens". Ladies March. Iliwekwa mnamo 27 Novemba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "10 Breakout Players of 2010". All White Kit. Iliwekwa mnamo 27 Novemba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "USA Falls to Nigeria in Penalty Kicks During Quarterfinal of 2010 FIFA Under-20 Women's World Cup". U.S. Soccer. 25 Julai 2010. Iliwekwa mnamo 27 Novemba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joy Jegede kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.