Nenda kwa yaliyomo

Joshua Akognon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Joshua Akognon (alizaliwa Februari 10, 1986) ni mchezaji nguli kutoka Nigeria ambaye alichezea Montakit ya ACB. Aliichezea timu ya chuo cha Washington State Cougars men's basketball, Washington State na Cal State Fullerton.

Joshua ana urefu wa futi 5 na inchi 11. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-04-26. Iliwekwa mnamo 2019-12-07.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joshua Akognon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.