Josh Tymon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Josh Tymon (alizaliwa Mei 22, 1999) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama mlinzi/beki wa klabu ya Stoke City.

Tymon alianza kazi yake katika klabu ya ya Hull City kabla ya kujiunga na Stoke City mwezi wa Julai 2017 kufuatia uamuzi wa Tigers mwaka 2016-17.

Maisha ya zamani[hariri | hariri chanzo]

Tymon alizaliwa huko Hull, na alikulia katika eneo la Kaskazini,Hull Estate ambapo alihudhuria Shule ya Msingi ya Endike na alicheza katika Ligi ya Jumapili ya Hull Boys na Pelican United, Pinefleet na Skirlaugh. Kisha akaenda katika Chuo cha Ferens Thomas na hatimaye,katika shule ya Malet Lambert.

Tymon alijiunga na Chuo cha Hull City akiwa na umri wa miaka kumi na mbili(12) na akawa akicheza mara kwa mara katika klabu ya chini ya umri wa miaka 18 na umri wa miaka kumi na tano(15) tu.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Josh Tymon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.