Nenda kwa yaliyomo

Joseph Gabet

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Joseph Gabet (4 Desemba 18081853) alikuwa padri mmisionari wa Kanisa Katoliki kutoka Ufaransa katika shirika la Walazaro.

Alikuwa na shughuli kaskazini mwa China na Mongolia kabla ya kusafiri kwenda Tibet akiwa na Évariste Huc. Alipelekwa kifungoni na kufukuzwa kutoka Tibet, kisha alifariki mjini Rio de Janeiro, Brazil.[1]

  1. Tremblay, Jean-Marie (Februari 2, 2005). "chine ancienne, chine antique, civilisation chinoise: Père Évariste HUC (1813-1860), Souvenirs d'un voyage dans la Tartarie et le Thibet pendant les années 1844, 1845 et 1846". texte.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.