Joseph Erlanger
Mandhari
Joseph Erlanger (5 Januari 1874 – 5 Desemba 1965) alikuwa daktari na mwanafiziolojia kutoka nchi ya Marekani. Joseph alikuwa ni mtaalamu wa elimu ya neva. Mwaka wa 1944, pamoja na Herbert Spencer Gasser alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Marekanibado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Joseph Erlanger kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |