Joseph Anténor Firmin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Joseph Anténor Firmin
Amezaliwa18 Oktoba 1850
Amefariki19 Septemba 1911
Kazi yakemwanasiasa na mwanaanthropolojia


Joseph Auguste Anténor Firmin ama Anténor Firmin (18 Oktoba 1850 - 19 Septemba 1911) alikuwa mwanasiasa na mwanaanthropolojia kutoka nchi ya Haiti katika Bahari ya Karibi.

Aliandika "Essai sur l'égalité des races humaines" (Insha ya usawa wa jamii za binadamu).

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Jean Price-Mars, Joseph Anténor Firmin. Port-au-Prince, Imprimerie du Séminaire Adventiste, 1978
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joseph Anténor Firmin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.