Nenda kwa yaliyomo

José Manuel Imbamba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
José Manuel Imbamba (2015)

José Manuel Imbamba (amezaliwa Boma nchini Angola, tarehe 7 Januari 1965) ni askofu wa Kanisa Katoliki nchini Angola.

Alipata upadrisho tarehe 29 Disemba 1991.

Tarehe 14 Disemba 2008 ametangazwa kuwa askofu mkuu wa Jimbo Kuu la Saurimo.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.