Nenda kwa yaliyomo

Jonas Hofmann

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jonas Hofmann (alizaliwa 14 Julai 1992)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ujerumani, ambaye anacheza kama winga katika klabu ya Bayer 04 Leverkusen inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Ujerumani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jonas Hofmann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.