Nenda kwa yaliyomo

Johnny Clegg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Clegg mnamo 1992

Jonathan Paul Clegg, OBE, OIS (7 Juni 1953 – 16 Julai 2019) alikuwa mwanamuziki wa Afrika Kusini, mwimbaji-mtunzi wa nyimbo, mchezaji densi, mwanaanthropolojia na mwanaharakati wa kupinga ubaguzi wa rangi, ambaye baadhi ya kazi zake za muziki zililenga muziki wa watu asilia wa Afrika Kusini. Bendi yake ya Juluka ilianza kama watu wawili na Sipho Mchunu, na lilikuwa kundi la kwanza katika enzi ya ubaguzi wa rangi Afrika Kusini kati ya mzungu na mtu mweusi. Wawili hao walitumbuiza na kurekodi.

Maisha ya mapema na kazi

[hariri | hariri chanzo]

Clegg alizaliwa tarehe 7 Juni 1953 huko Bacup, Lancashire, [1] Baba yake alikua na Asili ya Uingereza , Dennis Clegg, na mama wa Rhodesia, Muriel (Braudo). [2] Familia ya mama yake Clegg walikuwa wahamiaji wa Kiyahudi kutoka Lithuania, na Clegg alikuwa na malezi ya Kiyahudi.[3] Wazazi wake walitalikiana alipokuwa bado mtoto mchanga, na alihamia na mama yake hadi Rhodesia (sasa Zimbabwe ) na kisha, akiwa na umri wa miaka sita, alihaia Afrika Kusini, [4] pia akitumia sehemu ya mwaka huko Israeli wakati wa utoto wake. [3]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
  1. "JOHNNY CLEGG BIOGRAPHY AND AWARDS". JohnnyClegg.com. Iliwekwa mnamo 2 Julai 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "White Zulu is making a comeback". Independent Online (IOL). 22 Julai 2006. Iliwekwa mnamo 16 Aprili 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. 3.0 3.1 Benarde, Scott R. (2003). Stars of David: Rock'n'roll's Jewish Stories. Waltham, MA: Brandeis University Press. ku. 3, 279–283. ISBN 1584653035. Iliwekwa mnamo 16 Aprili 2020.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Freeman, Patricia (24 Oktoba 1988). "Black and White and Heard All Over, Johnny Clegg and Savuka Cross South Africa's Color Barrier". People. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 10 Juni 2017. Iliwekwa mnamo 17 Aprili 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Johnny Clegg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.