John Lydon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
John Lydon

John Lydon ni mwanamuziki wa Uingereza. Jina lake la kuzaliwa ni John Joseph Lydon. Alizaliwa 31 Januari 1956 huko London. Alikuwa anapiga muziki wa Punk na Post punk.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Lydon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.