John Boyd Orr
Mandhari
(Elekezwa kutoka John Boyd-Orr)
Sir John Boyd-Orr (23 Septemba, 1880 hadi 25 Juni, 1971) alikuwa mwanasiasa, mwanabiolojia na mwalimu kutoka nchi ya Uskoti. Hasa anajulikana kwa utafiti wake wa lishe akiwa mkurugenzi wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) 1945-48. Mwaka wa 1949 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Boyd Orr kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |