Nenda kwa yaliyomo

Joelle Wedemeyer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marie Joelle Wedemeyer

Marie Joelle Wedemeyer (alizaliwa 12 Agosti 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu katika klabu ya wanawake ya VfL Wolfsburg kwenye ligi ya Frauen-Bundesliga nchini Ujerumani.[1][2]


Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joelle Wedemeyer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.