Joe Hart

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Joe Hart akiidakia timu yake ya taifa ya Uingereza.

Charles Joseph John Hart (alizaliwa 19 Aprili 1987) ni mchezaji wa soka wa Uiingereza ambaye alicheza kama golikipa wa Manchester City na timu ya taifa ya Uingereza.

Hart aliandika rekodi pamoja na tuzo za Ligi Kuu ya Uingereza la Golden Glove mara nne na amecheza mechi 75 na timu ya taifa ya Uingereza tangu mwanzo wake mwaka 2008.

Alianza kazi yake katika klabu ya Shrewsbury. Mwaka wa 2006 alihamia Manchester City, akiwa amevutiwa na makombe kadhaa ya Ligi Kuu.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joe Hart kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.