Nenda kwa yaliyomo

Jocelyne Machevo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jocelyne Machevo ni Afisa wa nishati wa Msumbiji anayejulikana kwa kazi yake katika mradi wa kwanza wa gesi asilia wenye maji kwa nchi ya Msumbiji. mwanamke wa kwanza wa Msumbiji kushikilia nafasi ya usimamizi kwenye Bonde la Eni Ronuma. Ana shahada ya uhandisi wa umma kutoka taasisi ya juu ya usafiri na mawasiliano nchini Msumbiji.

Mwaka 2017, alipokea tuzo ya mwanamke wa mwaka katika mkutano wa Gesi wa CWC Msumbiji. Mnamo mwaka 2019, alishinda [Tuzo]] ya Power Play Rising Star, ambayo ilitolewa kwa msichana mdogo wa chini ya miaka 35 ambaye alifanya athari kubwa katika tasnia ya LNG. [1][2]

  1. "Mozambique's Jocelyne Machevo wins Power Play Award as LNG industry celebrates women's contribution". Mozambique (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2019-11-21.
  2. "The Power Play Awards | ExxonMobil LNG". www.exxonmobillng.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-11-21.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jocelyne Machevo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.