João Mário
Mandhari
João Mário (amezaliwa tarehe 19 mwezi wa januari mwaka 1993) ni mchezaji anayecheza katika klabu ya Internazionale ya Milano iliyopo katika ligi kuu ya Italia iitwayo Seria A na pia ni mchezaji wa timu ya taifa ya Ureno.
Alianza katika klabu ya Sporting CP ambaye mfumo wake wa vijana alikikuza kipaji chake, akiwa amekopwa kwa Vitória de Setúbal mwaka 2014 na kisha kurudi katika klabu yake na kuwa miongoni mwa wachezaji walisaidi timu kufanya vizuri katika mashindano hayo.
João Mário alifanya mechi yake ya kwanza kwa Ureno mwaka 2014. Amechaguliwa kwa Kombe la Dunia la FIFA 2018 na alionekana katika Euro 2016, kushinda mashindano hayo ya mwisho.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu João Mário kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |