Eneo bunge la Kibwezi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eneo bunge la Kibwezi lilikuwa jimbo la Uchaguzi nchini Kenya, moja kati ya Majimbo Matano ya wilaya ya Makueni. Jimbo hili lilianzishwa mnamo Uchaguzi Mkuu wa 1988.

Miji ya Makindu, Mtito Andei na Kibwezi ilipatikana katika Jimbo hili.

Kwa sasa limegawanywa.

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Mwaka wa Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo zaidi
1988 Agnes Mutindi Ndetei KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Agnes Mutindi Ndetei DP
1997 Onesmus Mutinda Mboko SDP
2002 Richard Kalembe Ndile NARC
2007 Philip Kaloki ODM-Kenya

Lokesheni na Wodi za Udiwani[hariri | hariri chanzo]

Lokesheni
Lokesheni Idadi ya Wakazi*
Chyulu Hills Nat. Park 2
Kambu 11.642
Kiboko 9,933
Kikumbulyu 41,223
Kinyambu 8,370
Makindu 18,410
Masongaleni 24,283
Mtito Andei 24,368
Ngwata 11,797
Nguumo 25,189
Nthongoni 19,777
Nzambani 13,513
Tsavo West 12
Twaandu / Kiboko 7,658
Utithi 24,534
Jumla x
Wodi
Wodi Wapiga KUra waliojisajili Utawala wa Mtaa
Ivingoni / Mang'elete 3,044 Mtito Andei (mji)
Kambu 1,808 Mtito Andei (Mji)
Kathekani / Darajan 2,839 Mtito Andei (Mji)
Mtito Andei 2,052 Mtito Andei (Mji)
Kikumbulyu 12,427 Makueni County
Kinyambu 10,742 Makueni County
Makindu 13,711 Makueni County
Masongaleni 5,932 Makueni County
Mtito Andei East 7,711 Makueni County
Mtito Andei West 3,559 Makueni County
Twaandu / Kiboko 5,475 Makueni County
Jumla 69,300
*Septemba 2005 [2].

Virejeleo[hariri | hariri chanzo]