Jimbo la Niger
Jimbo la Niger Jina la kiutani: The Power State | ||
Mahali pa jimbo nchini | ||
---|---|---|
Takwimu | ||
Gavana (Orodha) |
Mu'azu Babangida Aliyu (PDP) | |
Tarehe ya kuanzishwa | 3 Februari 1976 | |
Mji mkuu | Minna | |
Eneo | 76,363 km ² Lina orodheshwa la kwanza | |
Idadi ya wakazi Sensa ya 1991 2005 makadirio |
Liliorodheshwa la 18 2,482,367 4,082,558 | |
GDP (PPP) -Jumla -Per capita |
2007 (makadirio) $ 6.00 bilioni [1] $ 1,480 [1] | |
ISO 3166-2 | NG-NI |
Jimbo la Niger ni jimbo lililoko upande wa magharibi mwa nchi ya Nigeria na ndilo jimbo kubwa nchini humo.
Mji mkuu wake ni Minna na miji mikubwa mingine ni Bida, Kontagora na Suleja. Liliundwa mwaka wa 1976 wakati Jimbo la Kaskazini Magharibi liligawanywa na kuunda majimbo ya Sokoto na Niger.
Jina la jimbo hili linatokana na Mto Niger, mbili kati ya stesheni kubwa za kutengezea nguvu za umeme za Nigeria. Bwawa la Kainji na Bwawa la Shiroro ziko katika Jimbo hili. Pia kuna Mbuga ya Kitaifa ya Kainji iliyo kubwa zaidi nchini Nigeria na ina Ziwa Kainji.
Serikali
[hariri | hariri chanzo]Kama majimbo mengine ya Nigeria, linaongozwa na Gavana na Bunge. Chini ya utawala wa Aliyu Mu'azu Babangida tarehe 13, Januari 2000, jimbo hili lilipitisha sheria ya Sharia kama kanuni ya sheria, ingawa idadi ya wakazi wa jimbo imekuwa kihistoria sawa kati ya Waislamu na Wakristo.
Maeneo ya Utawala
[hariri | hariri chanzo]
Jimbo la Niger limegawanywa katika Maeneo 25 ya Serikali za Mitaa.
|
|
|
|
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 "C-GIDD (Canback Global Income Distribution Database)". Canback Dangel. Iliwekwa mnamo 2008-08-20.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]
Abia | Abuja Federal Capital Territory | Adamawa | Akwa Ibom | Anambra | Bauchi | Bayelsa | Benue | Borno | Cross River | Delta | Ebonyi | Edo | Ekiti | Enugu | Gombe | Imo | Jigawa | Kaduna | Kano | Katsina | Kebbi | Kogi | Kwara | Lagos | Nasarawa | Niger | Ogun | Ondo | Osun | Oyo | Plateau | Rivers | Sokoto | Taraba | Yobe | Zamfara |
Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Niger kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |