Nenda kwa yaliyomo

Jike

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alama ya Jinsia ya Kike

Jike ni kiumbe yeyote yule ambaye ana jinsia ya kike. Jike laweza kuwa Simba, Nyani, Sungura, Mbwa, Nyati, Mbweha na kadhalika, ila kwa binadamu huitwa mwanamke.

Hivyo basi kundi hili la viumbe huchangia kwa kiasi kikubwa sana kuzaliwa na kulea hasa viumbe vichanga kwa kuwanyonyesha na kuwahakikishia mahitaji mengine ya msingi kama vile kuwasafisha na kuwahakikishia ulinzi dhidi ya wanyama walanyama, kwa mfano jike la nyati hujitahidi kumlinda mwanaye wakati wote wawapo mbugani.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jike kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.