Jesús Corona

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jesús Corona

Jesús Manuel Corona (jina lake Tecatito; alizaliwa 6 Januari 1993], ni mchezaji wa soka wa Mexico ambaye anacheza kama winga au kiungo wa klabu ya Ureno ya F.C. Porto na timu ya taifa ya Mexico.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jesús Corona kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.