Jerry Sadowitz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Jerry Sadowitz
Jerry Sadowitz.

Jerry Sadowitz (alizaliwa 4 Juni 1961) ni Mskoti mwenye asili ya Marekani anayefanya mazingaombwe ya jukwaani na ya karata.

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Sadowitz alizaliwa New Jersey na baba Myahudi wa Marekani aliyefanya kazi kama mfanyabiashara wa vyuma chakavu na mama yake Mskoti, Roslyn.

Wazazi wake waliachana wakati alipokuwa na umri wa miaka mitatu (3), na akiongozwa na mama yake kurudi Glasgow, asili yake, wakati alikuwa na umri wa miaka 7.

Sadowitz alisoma Calderwood Lodge Primary na kisha Shawlands Academy. Alivutiwa na mazingaombwe akiwa na umri wa miaka 9, na kwa umri wa miaka 11 aliamua kuwa mfanyamazingaombwe, kupata vitabu kutoka kwa Tam Shepherd's Magic na Joke Shop. Sadowitz alihimizwa na mama yake kufanya utafiti wa mazingaombwe kwenye maktaba yake. Sadowitz alikuwa akisumbuliwa na vidonda vya utumbo mpana toka utotoni.

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jerry Sadowitz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.