Nenda kwa yaliyomo

Jeanuël Belocian

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jeanuël Belocian (alizaliwa 17 Februari 2005)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa, ambaye anacheza kama beki au kama kiungo katika klabu ya Bayer 04 Leverkusen inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Ufaransa kwa walio na umri chini ya miaka 21.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Jeanuël Belocian". worldfootball.net (kwa Kiingereza). 2024-06-07. Iliwekwa mnamo 2024-06-29.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jeanuël Belocian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.