Jeanine Áñez
Mandhari
Jeanine Áñez Chávez (amezaliwa 13 Agosti 1967) ni mwanasiasa na wakili wa Bolivia ambaye amekuwa rais wa mpito wa Bolivia tangu Novemba 2019, baada ya kujiuzulu kwa serikali ya Evo Morales.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jeanine Áñez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |