Jean Castex

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Portrait Jean Castex (cropped).jpg

Jean Castex (amezaliwa 25 Juni 1965) ni mwanasiasa Mfaransa anayehudumu kama Waziri Mkuu wa Ufaransa tangu tarehe 3 Julai 2020.

Mwanachama wa zamani wa Republican (LR), Castex aliwahi kuwa Meya wa Prades, mji wa mkoa Kusini mwa Ufaransa, kwa miaka kumi na mbili hadi kuteuliwa kwake kama Waziri Mkuu na Rais Emmanuel Macron.

Crystal personal.svg Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jean Castex kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.