Jasmine Tiisekwa Bunga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jasmine Tiisekwa Bunga (amezaliwa aprili 1962) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ameteuliwa kuwa mbunge wa Viti Maalum vya Wanawake kwa Vyuo Vikuu kwa mwaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017