Janet Wanja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Janet Wanja (alizaliwa 24 Februari 1984 mjini Nairobi) ni mchezaji wa mpira wa vikapu wa kike kutoka nchini Kenya, aliyechezea nchi yake katika michezo ya Olimpiki ya mwaka wa 2004 mjini Athens, ugiriki, akivalia jezi nambari 7. Waliibuka nambari kumi na moja na Timu ya wanawake ya kitaifa ya Kenya.

Amezichezea timu za Kenya Commercial Bank na Kenya Pipeline.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Makala-ya-mbegu-ya-voleboli-ya-Kenya