Nenda kwa yaliyomo

James Gichuru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

James Samuel Gichuru (19141982) alikuwa mwanasiasa wa Kenya. Aliwahi kuwa waziri wa Fedha,[1] waziri wa ulinzi [2] na mbunge wa zamani wa eneo la Limuru. [3] Akiwa miongoni mwa waanzilishi wa chama cha Kenya African National Union (KANU) mwaka 1960 vile vile mwenyekiti wa muda kwa niaba ya jomo Kenyatta aliyekuwa gerezani) hadi1961.[4][5][6]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Ag. Director General Public Debt Management Office". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 Juni 2016. Iliwekwa mnamo 5 Januari 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Navy – Ministry of Defence – Kenya". mod.go.ke. Iliwekwa mnamo 2021-07-28.
  3. "Kenya: Limuru Constituency, Kiambu District", 30 April 2002. 
  4. "Kenya's History 1960-1963". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Septemba 2011. Iliwekwa mnamo 5 Januari 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Juakaliman (2008-01-17). "Msemakweli: mashujaa". Msemakweli. Iliwekwa mnamo 2021-07-28.
  6. "Kenya's finance minister who missed CBK opening after chewing blackout - The Standard Entertainment".