Nenda kwa yaliyomo

Jaden Smith

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jaden Christopher Syre Smith (alizaliwa Malibu, California, 8 Julai 1998) ni mwigizaji wa Marekani.

Filamu zake za kwanza zilikuwa Pursuit of Happiness, The karate kid na After Earth.

Yeye ni mwana wa mtendaji Will Smith na Jada Pinkett Smith. Yeye ni ndugu mkubwa wa mwimbaji Willow Smith (aliyezaliwa 2000) na mdogo wa Trey Smith (aliyezaliwa 1992).

Smith na ndugu zake walikuwa wajumbe wa vijana wa Mradi Zambi, ambao hutoa msaada kwa kushirikiana na Hasbro kwa watoto wa Zambia walio yatima na wagonjwa wa UKIMWI.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jaden Smith kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.